Benki ya AfDB kuikopesha Tanzania pesa za ujenzi wa reli

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,055
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imetoa ahadi ya kuipatia Serikali ya Tanzania mkopo wenye masharti nafuu.

Mkopo huo utakuwa mahsusi kwa ajili ya ujenzi kufanikisha ujenzi wa reli ya kati (SGR) unaotarajiwa kuanza hivi karibuni.

07c558c08e879999431f5ead614e2d23.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hela ya kujenga hii reli hii serikali ilishasema wanazo tayari mbona kigeugeu
 
Back
Top Bottom