Angalia ujinga wa CAF
1. Mashindano yako displaced. Ligi nyingine kubwa duniani ziko active, bora wangefanya June, July
2. Muda wa kuandaa uwe miaka minne. Miwili inachosha ndo maana itakuwa kama hakuna jipya, kama bonanza tu.
3. Kingine wakifata one and two hapo huu, hata wachezaju maarufu kwenye asili ya Afrika watajisikia kuja kucheza.
4. Timu ziongezwe ziwe 24 maana Afrika ina nchi nyingi zaidi ya 50.
Kama kuna mtu anaweza kuwakilisha haya mawazi CAF kwa niaba ya wengi (maana ni mawazo ya wengi niliyoyapata from time to time) na wakayafanyia kazi utamu na mvuto utapatikana