AFCON 2013: Kutoka Africa Kusini

Kombe lililo pita Zambia walibahatisha
 
Nigeria wamepata penati nyingine na wanafunga goli la pili.
 
Wakati huu Zambia wakiwa wametolewa AFCON bingwa mtetezi wa muda ni Tanzania kwa sababu tuliifunga Zambia...R.I.P Zambia

Tehetehetehetehetehetehetehetehe, haya mkuu umesikika!
 

Mkuu, umeturushia ratiba lakini mbona umekasahau ka timu ketu ka taifa, sikaoni humo. teh,teh,teh.
 
Mkuu, umeturushia ratiba lakini mbona umekasahau ka timu ketu ka taifa, sikaoni humo. teh,teh,teh.

Teh teh teh teh... Timu yetu ya taifa isubiri AFCON2015, na uhakika watafuzu.
 
Zambia na DRC timu nilizokua nazishangilia na kuziaminia katika mashindano hyaya zimetolewa, sijui kama mashindano yatakuwa na mvuto tena.
 
Wakati huu Zambia wakiwa wametolewa AFCON bingwa mtetezi wa muda ni Tanzania kwa sababu tuliifunga Zambia...R.I.P Zambia
kwaa hiyo unataka kuleta 'porojo' gani mkuu? Kuwa timu inayofungwa na tz haiwezi kufika popote (yaani ni kielelezo cha udhaifu) au si ndio tuliwawekea gundu?? ...tusije tukaogopwa siku za mbeleni
 
mkuu Mphamvu utaonekana wa ajabu mbele za wengi lakini wengi hao hao ndio walio kwenye huo mkumbo so you better stand out of from the Crowd so long as you are correct.
Niliwahi kukutana na mtu wa Scotland na tukawa tunaongelea mambo ya mpira na ndio tukaingilia issues za upenzi wa timu. Mimi nilidhania moja kwa moja kuwa angelikuwa ni shabiki either wa rangers, celtic au basi dundee lakini kwa mshituko ndo akasema anaweza kuhesabu hata mara ngapi alienda kushuhudiia mechi zao maana timu yake ni ndogo sana ambayo ni ya eneo (locality) anapotokea/anapoishi. Sawa ni ushabiki/upenzi lakini hii ilinipa picha kubwa ya ni jinsi gani tulivyo wajinga maana unakuta mtaani kuna tawi la simba/yanga na hata Manchester lakini hawana hata timu ya kuwakilisha wilaya!!! Wabongo kila kitu kujiendea tu kama nyumbu wa serengeti wakivuka mto mara

 
Bora Zambia ametolewa,sisi huku mpakani tutapumua.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…