AFC Leopards vs Yanga

Kama namuona Tshishimbi alivyooga matusi ya kimoyo moyo toka kwa MIKIA. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mtani Shadeeya umemsikia Zahera ? Hata jana mambo yalikuwa magumu ilibidi refa awe mzalendo amtoe mchezaji wa AFC Leopards kwa kadi nyekundu .Wakawa pungufu .I rest my case.
 
Ingekuwa tumefungwa mbona ningewaona hapa Mtani tena kwa wingi wenu ule ule ninaoujua na povu juu. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nakulia timing tu wiki hii utakuwa Gaberone kwenye uwanja wa Taifa la Botswana wameanzisha kampeni yao ya kujaza uwanja wanasema.
.
#TlatsaLebala yani Tuujaze uwanja na mimi nasemaje Popa the blues 😍😍
 
Tuna mchezo mgumu na muhimu wa marudiano dhidi ya Township Rollers.

"Nahitaji muda kuiandaa timu lakini tunakuja kupoteza muda huku Moshi na Arusha.

"Tumecheza na Polisi kisha AFC katika viwanja vibovu hakuna jambo la maana tulilofaidika nalo hii ziara tungeweza kuifanya muda mwingine sio huu" amesema Zahera baada ya mchezo wa jana dhidi ya AFC Leopa
 
Hahahaaa!!! Mtihani ni pale sisi tutakaposonga halafu nyie mkabaki mmeduwaa.

Hapatatosha hapa Mtani. πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Mtani Shadeeya umemsikia Zahera ? Hata jana mambo yalikuwa magumu ilibidi refa awe mzalendo amtoe mchezaji wa AFC Leopards kwa kadi nyekundu .Wakawa pungufu .I rest my case.
Jamani Mtani. Mbona goli ndio lilianza.
 
Tuna mchezo mgumu na muhimu wa marudiano dhidi ya Township Rollers.

"Nahitaji muda kuiandaa timu lakini tunakuja kupoteza muda huku Moshi na Arusha.

"Tumecheza na Polisi kisha AFC katika viwanja vibovu hakuna jambo la maana tulilofaidika nalo hii ziara tungeweza kuifanya muda mwingine sio huu" amesema Zahera baada ya mchezo wa jana dhidi ya AFC Leopa
Mimi Simba ila nachukizwa na dharau hizi za Zahera kwa uongozi wa Yanga
 
Back
Top Bottom