Afanyeje apate matokeo ya kujiunga diploma?

omary khamis

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
402
77
Habar zenu wana jf?
Nina mdogo wangu anataka kujiunga na diploma mwaka huu anafanya final ya certificate mwezi wa saba na mwisho wa kufanya application za kujiunga na vyuo ni 20 August, Je itakuaje kama tarehe hiyo itafika na chuoni kwake wakawa hawajatoa matokeo yake ya certificate ???? Kwa anayejua msaada please
 
Application hua zipo adi october but inatokana na yy ataomba course ipi
 
Habar zenu wana jf?
Nina mdogo wangu anataka kujiunga na diploma mwaka huu anafanya final ya certificate mwezi wa saba na mwisho wa kufanya application za kujiunga na vyuo ni 20 August, Je itakuaje kama tarehe hiyo itafika na chuoni kwake wakawa hawajatoa matokeo yake ya certificate ???? Kwa anayejua msaada please
Mwache afanye yatoke , maana anaeza akapata supp ikawa ushauri unaoutaka ni kazi bure tu.

Alafu hapo chuoni si kuna ALMANAC ,kama haipo awaulize malecturer wake kua kwakipindi hicho inakuaje kwa watu wanaotaka kuunganisha na diploma???
 
Back
Top Bottom