Dada mmoja alikuwa na mchumba wake wa muda mrefu....aliamua kuweka mambo yao down-low...nobody has to know.....ikatokea siku moja yeye na rafiki yake wa kike wakapewa lift kurudi mitaa ya kwao....yule rafiki inaelekea kwa makusudi akasahau funguo za chumbani kwake kwenye gari la mchumba wa rafiki yake.....na jamaa aligundua hili akiwa nyumbani kwake baada ya kuwashusha mabinti hawa ambao wanakaa karibu.....akampigia mchumba wake aje kuchukua funguo na akaambiwa sio zangu zitakuwa za fulani...na mimi nikiingia nyumbani muda huu siruhusiwi kutoka.....ngoja nimpe namba yako akupigie ili umuelekeze aje kuchukua...jamaa akatoka home akaenda baa ya karibu kumsubiri yule mdada baada ya kuwasiliana.....akaja akapewa funguo akaondoa.....toka siku ya pili yake jamaa anatongozwa kimtindo na shemeji yake huyu......jamaa hana raha kwani anajua akimwambia mchumba wake hana hakika matokeo yatakuwa vipi......anaomba ushauri
Kwa miaka mitatu anachungulia tu bila kuchangia hata chochote.....! Halafu anaanza kuomba msaada wakati amebaki mchoyo kwa muda wote huu....!Hata hodi hakuna
Umejisajiri 2007 una post mojatu rafiki ..hebu sema kweli Imbanda wewe ndo unasumbuliwa na shemeji yako. pole sana mwambie ukweli aachane na wewe uko commited tayari na akiendelea kukufatilia utamwambia rafiki yake
kwani penzi linalazimishwa?
lmbanda naona umeingia na ID mpya!
Story inaonyesha anayesumbuliwa ni wewe!
Ukiwa kweny "uchumba" ni muda muafaka wa "kufanya majaribio" - Mwanamke akikutongoza "hit-and-run"! Wewe bado unachumbia and still unaogopa kutenda dhambi?
lmbanda naona umeingia na ID mpya!
Story inaonyesha anayesumbuliwa ni wewe!
Ukiwa kweny "uchumba" ni muda muafaka wa "kufanya majaribio" - Mwanamke akikutongoza "hit-and-run"! Wewe bado unachumbia and still unaogopa kutenda dhambi?