Kwa mujibu wa redio ebony ya hapa iringa kuna jamaa alifumaniwa kwa kufanya mapenzi na nguruwe katika kijiji cha itunundu pawaga,iringa.alipokamatwa alikiri huwa ulikuwa mchezo wake wa muda mrefu.hii jamii yetu inakwenda wapi sasa?[/QUOT
Huo ni ushirikina tu, haiwezekana nyumba ndogo iwe nguruwe au mnyama wa aina yoyote. Tunakoelekea Mungu wetu atende miujiza.