Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Unajua chupa za bia za kibongo ni kubwa sana, ndio maana zinapagawisha.
lakini utashangaa anapiga chupa 10 kwa ukubwa huo.....
Kuna zile chupa za bia za Rwanda maarufu kwa jina la Primus aka Gauzamulyango, zinakaribia lita moja na kwenye crate zinawekwa chacheUnajua chupa za bia za kibongo ni kubwa sana, ndio maana zinapagawisha.
nao ni binadamu wanahitaji kufurahi kama alivyofurahi Komba na machemli