Afande Sele: Mtunzi bora wa muda wote, Muziki wa Bongo Flavour

Afande Sele: Mtunzi bora wa muda wote, Muziki wa Bongo Flavour

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,306
Reaction score
38,511
1. Afande Sele
2. Mr 2
3. Prof J
4. 20%
5. J MO
6. J. Nature
7. Jide
...........

Afande Sele ndio msanii mwenye nyimbo zenye ujumbe zaidi unaoweza kusikilizwa na rika zote, na ujumbe unaogusa jamii moja kwa moja.

Ni mtazamo tu wakuu, unaweza kuongeza kusahihisha kulingana na mtazamo wako.
 
Solo thang yuko wapi hapo? list feki hii.
Mkuu hapa tunathaminisha uhodari wa wasanii wetu kwenye utunzi.

Ndio maana nimeruhusu kusahihisha au kukosoa au unaweza kuweka orodha yako tukaitathimini.
 
Profesa apo yupo juu afu update xana hapotei kwenye game

Kwamba yupo juu ya Afande Sele au, kumbuka hapa tunaongelea mtunzi bora sio msaani alieheat mda mrefu.
 
Wapi sister Jide?
Wapi bro Nature?
Wapi mwanangu Dully?
Vp kuhusu kakangu Fid?
Inakuwaje unamweka 20% wakati kaja juzi kahiy kisha akapotea wakati kuna wabakiaji wakitambo tunasoma mpk leo game halijawapa za uso imewaacha?
RUDI CHIMBO KAJIPANGE UJE UPYA
 
Mkuu Ganja hapa tunaongelea nyimbo zenye ujumbe yaani utunzi bora, kiasi ukisikiliza nyimbo zao kuna kitu unaondoka nacho.

Sikiliza nyimbo zote za 20 % utajua kwa nini alibeba tuzo saba kwa mara moja.
Namheshim fid Q ila nyimbo zake zinalenga rika fulani, tofauti na Afande, Prof j na 20%
 
Last edited by a moderator:

kamili gado inakubalika kwa rika zote?
Ile video ya wimbo huo unaweza iangalia na watu unaowaheshimu?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ganja hapa tunaongelea nyimbo zenye ujumbe yaani utunzi bora, kiasi ukisikiliza nyimbo zao kuna kitu unaondoka nacho. Sikiliza nyimbo zote za 20 % utajua kwa nini alibeba tuzo saba kwa mara moja. Namheshim fid Q ila nyimbo zake zinalenga rika fulani, tofauti na Afande, Prof j na 20%
mkuu 20 alchukua 5 kamackoxei
 
Last edited by a moderator:
profesa J anafaa ashike usukani
 
1. Afande
2. 20%
3. Jebi
4. Kalapina
5. Prof J
6. Sugu
7. J mo
8. Jide
9. Wagosi wa kaya
10. Roma
 
1.Afande Sele
2.Mr 2
3.Prof J
4.20%
5.J MO
6.J.Nature
7.Jide
........

Afande Sele ndio msanii mwenye nyimbo zenye ujumbe zaidi unaoweza kusikilizwa na rika zote, na ujumbe unaogusa jamii moja kwa moja.

Ni mtazamo tu wakuu, unaweza kuongeza kusahihisha kulingana na mtazamo wako.

Hapo nakukubalia Afande ndiye msanii aliyetoa nyimbo za ujumbe nyingi na kuelimisha jamii. Prof j ndiye anayefatia kwa hapo. Lakini msanii aliyetoa nyimbo za ujumbe kwa muda mrefu na kukubalika ni prof jay....
 
mkuu naona unaleta mapenzi mbele huna sababu za msingi kumuweka afande mbele prof hebu kasikilize vzr machozi jasho na damu vzr hlf mapinduzi halisi halafu njoo na jibu
 
Wapi sister Jide?
Wapi bro Nature?
Wapi mwanangu Dully?
Vp kuhusu kakangu Fid?
Inakuwaje unamweka 20% wakati kaja juzi kahiy kisha akapotea wakati kuna wabakiaji wakitambo tunasoma mpk leo game halijawapa za uso imewaacha?
RUDI CHIMBO KAJIPANGE UJE UPYA

Dully ana utunzi gani?
 
ila kweli afande sele nyimbo zake zilikuwa na jumbe nzito kwa lika zote mfano, mkuki moyoni, mtazamo, darubini kali, malaria haikubaliki huu tena ulinunuliwa na wale jamaa wa malaria, nafsi ya mtu jamaa alikuwa na maono kwenye muziki
 
Back
Top Bottom