Lakini kinachoonekana pichani ni chupa za pombe na si vipisi vya bangi. inashaangaza kulaumu bangi peke yake na si pombe.
pombe bwana...........
sikilizeni hawa ni wasanii wazuri ila ukiwaangalia muonekano wao huwezi kusita kuwaita wavuta bangi na ni kweli wanavuta sana na ndo chazo cha uswahiba wao sasa bora afande yeye ana nyumba 20% hana hata nyumba sasa cjui itakuwaje make umri nao unakwnda.KUWA SIMPLE HAIMAANISHI UWE MCHAFU KAMA WALIVYO AFANDE NA 20% NI AIBU
Unabii unapotimia.Kwa kweli mie niwe mkweli tu BAngi ni mbaya sana huyu jamaa 20% kashunda tunzo 5 za TKMA 2011 lakini I am sure he will be no where than where Afande Sele is, picha zinajieleza..
Afande kavaa kandambili papa na nguru wala hana wasiwasiDuhh, Afandee Selee katinga fasheni baabkubwa na hizo ndala zake!!