masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,895
- 15,119
Gwe ugwe! , tukujata ngati ngambiliMalafyale ufumile ku-mbeje? Asubuhi mafinga, isalahisi Mikumi, Anyway karibu mjini.
Malafyale ufumile ku-mbeje? Asubuhi mafinga, isalahisi Mikumi, Anyway karibu mjini.
aaaaaaaaaaaahhh!!!!!!!!!Gwe ugwe! , tukujata ngati ngambili
Ha ha ha!
Kikolo bampani, tulibhakafu!vha kumye2 mwe mugonile
View attachment 67357
Ukipita nchi ya watu(wanyama) inabidi uwe mwangalifu na adabu juu.
Maafande wengine hawakopeshi wala kudai kitu kidogo!
Hao nyati watatu nimewakuta wameweka road block pale Mikumi.
Hawataki uwapigie honi wala kuwasogelea, usipofanya hivyo umekwisha!
Jamaa walisimama tuli katikati ya barabara, huku nikitweta.Niliwasubiri kama dakika nane hivi ili waniruhusu kupita.
Mkuu huko Ngorongoro wanyama na binadamu wanaishi pamoja.mod mpe ban huyu,unaogopa wakati sisi ngorongoro watoto wanapidhana na chui,simba et al wakienda shule...waswahili hamna ktu kasi...wewe unaweza hata kuogopa yanga
Hao makamanda lzima ni Wangoni hao!View attachment 67357
Ukipita nchi ya watu(wanyama) inabidi uwe mwangalifu na adabu juu.
Maafande wengine hawakopeshi wala kudai kitu kidogo!
Hao nyati watatu nimewakuta wameweka road block pale Mikumi.
Hawataki uwapigie honi wala kuwasogelea, usipofanya hivyo umekwisha!
Jamaa walisimama tuli katikati ya barabara, huku nikitweta.Niliwasubiri kama dakika nane hivi ili waniruhusu kupita.
Wangekumwaga kinyesi ungewaendea pupa