Bila shaka ndo mapandikizi ya Kagame aliyokuwa anayapigia kelele marehemu Mtikila
Umenikumbusha wimbo wa AY unaitwa YULE.
"anavutiaa, cha ajabu hajidai,
nataka awe wangu tu yulee,
lakini kumwambia noo siweziii,
Nampenda sana jinsi alivyo (yulee)"
Ukiona tu sura unajua huyo ni mtu wa kaskazini mwa Tanzania.Bila shaka ndo mapandikizi ya Kagame aliyokuwa anayapigia kelele marehemu Mtikila
HahahaaaaUkiona tu sura unajua huyo ni mtu wa kaskazini mwa Tanzania.
(Msele)
afu mtu unasema eti binadamu wote ni sawa...maweee!!!Ningekuwa mtuhumiwa ningeomba afande huyu anikamate ningekiri makosa yoteView attachment 1101523
Mkuu kwahyo maisha yetu ya kila siku pamoja na kusomesha wadogo zetu tunapata misaada toka kwenye ukoo wenu?