Afande Mpinga, huyu traffic wa Ubungo anapendelea!

Afande Mpinga, huyu traffic wa Ubungo anapendelea!

Trafic maeneo kama ya kimara SUKA,, na MBEZI MWISHO wanakera kwa kweli,, sioni ni kwa nn kuwe na foleni muda wote maeneo hayo tu,,

Wasipokuwepo Trafic huwa hakuna foleni wakiwepo wao tu ni shiida,,

Kweli wapunguzwe wamekuwa wengi mno wanalazimisha waonekane wana kazi ya kufanya kumbe wanaongeza kero barabarani.
 
Tatizo la kwenye mataa, upande wowote utakaokaa, utaona upande mwingine unapendelewa na wa upande huo ataona utaona upande wenu unapendelewa.
 
Dogo vipi au wewe ndio uliokula vibao pale Ubungo mbona unapaniki.
Dooh kwani kula vibao ni ajabu sana?mimi ni Askari Jeshi (anga),ila sifurahii vitendo vya kinyama ktk kwa Askari wenzangu.
 
Sie Hatuna maneno na traffic police (Mose)..
Daraja La Kawe/Jkt..
Hasubuhii/Jioni ndio wakati Wakuvunja sheria za Barabara kwa cc wachepukajii
 
Back
Top Bottom