Afande Mpinga, huyu traffic wa Ubungo anapendelea!

Afande Mpinga, huyu traffic wa Ubungo anapendelea!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,892
Nani anakumbuka siku traffic anachapwa na wanajeshi nilikuwa pale alikuwa anaongea na simu huku anavuta upande mmoja nusu saa kama vile hizi zingine hazion kilionekana ni kama kunawatu wanawapigia matraffic wavute wawahi na wale wamabasi wengine huwatumia Tigo pesa ama Mpesa traffic ili wavute upandewao pekee

Leo tuko ubungo sasa toka saa tano kaso robo tumesimama tu gari zinapiga honi havuti upande wa Mwenge to ubungo

Je, wanajeshi wakiwapiga mtalalamika kweli??
 
Kumbe P,Diddy hongera leo umejitahidi sana kuandika na kueleweka ongeza juhudi baba
 
NANI ANAKUMBUKA SIKU TRAFFIC ANACHAPWA NA WANAJESHI NILIKUWAPALE ALIKUWA ANAONGEA NA SIMU HUKU ANAVUTA UPANDE MMOJA NUSU SAA KAMA VILE HIZI ZINGINE AZION KILIONEKANA N KAMA KUNAWATU WANAWAPIGIA MATRAFFIC WAVUTE WAWAHI NA WALE WAMABASI WENGINE HUWATUMIA TIGOPESA AMAMPESA TRAFFIC ILI WAVUTE UPANDEWAO PEKEE

LEO TUKOUBUNGO SASA TOKA SAA TANO KASOROBO TUMESIMAMA TU GARI-ZINAPIGA HONI AVUTI UPANDE WA MWENGE TO UBUNGO

JE WANAKESHI WAKIWAPIGA MTALALAMIKA KWELI??

kajifunze kiswahili kwanza hasa maeneo yafuatayo!

matumizi ya kiulizo
kuchanganya kiingereza na kiswahili
tofauti kati ya J na K
Kutenganisha maneno
matumizi ya 'ha'
kuweka vituo katika hadithi zako
 
Uzuri wa Pdiddy yupo maeneo yote nyakati zote. Muulize habari za Airport, bandari, bar/club, stori za mtaa, misiba, foleni, Watu maarufu n.k. Na chochote atakachoona hasiti kuanzisha thread.

Kudos mpwa Pdidy....................................ubarikiwesanaaikandau!!!
 
kajifunze kiswahili kwanza hasa maeneo yafuatayo!

matumizi ya kiulizo
kuchanganya kiingereza na kiswahili
tofauti kati ya J na K
Kutenganisha maneno
matumizi ya 'ha'
kuweka vituo katika hadithi zako
Utasaga meno na shule au darasa lako kwa huyo jamaa. Kwanza hapo kajitahidi sana, ungekuta ameishashushia na "chimpumu" ungekosoa mpaka Nukta.
 
NANI ANAKUMBUKA SIKU TRAFFIC ANACHAPWA NA WANAJESHI NILIKUWAPALE ALIKUWA ANAONGEA NA SIMU HUKU ANAVUTA UPANDE MMOJA NUSU SAA KAMA VILE HIZI ZINGINE AZION KILIONEKANA N KAMA KUNAWATU WANAWAPIGIA MATRAFFIC WAVUTE WAWAHI NA WALE WAMABASI WENGINE HUWATUMIA TIGOPESA AMAMPESA TRAFFIC ILI WAVUTE UPANDEWAO PEKEE

LEO TUKOUBUNGO SASA TOKA SAA TANO KASOROBO TUMESIMAMA TU GARIZINAPIGA HONI AVUTI UPANDE WA MWENGE TO UBUNGO

JE WANAKESHI WAKIWAPIGA MTALALAMIKA KWELI??
Kwahiyo unafurahia WAJEDA kujichukulia sheria mkononi?.
 
kajifunze kiswahili kwanza hasa maeneo yafuatayo!

matumizi ya kiulizo
kuchanganya kiingereza na kiswahili
tofauti kati ya J na K
Kutenganisha maneno
matumizi ya 'ha'
kuweka vituo katika hadithi zako
Sema uelewiiii usaidiwe
 
Siku JPM angeamka na kutoa tamko hawa askari wa usalama barabarani wote warudi kambini wapangiwe kazi nyingine alafu wale jamaa zetu wa jeshini yaani MP wachukue nafasi zao ingekuwa poa sana.
 
Siku JPM angeamka na kutoa tamko hawa askari wa usalama barabarani wote warudi kambini wapangiwe kazi nyingine alafu wale jamaa zetu wa jeshini yaani MP wachukue nafasi zao ingekuwa poa sana.
Kwa hiyo na wewe ni GREAT THINKER?
 
Kujichukulia sheria mikononi ni uhalifu.
Waambie hao wajinga ,hawajui duniani jeshi la wapumbafu ndio linajichukulia sheria mkononi hadi kupiga wananchi wake,mtu akikutwa ameva kofia au kitambaa rangi ya jeshi eti wanamgaragaza kwenye tope je hilo ni jeshi au uozo wa jeshi.
 
Wewe lazima utakua una sababu moyoni inayokutafuna , maana mada iliyopo na unachokiandika tofauti.
 
Waambie hao wajinga ,hawajui duniani jeshi la wapumbafu ndio linajichukulia sheria mkononi hadi kupiga wananchi wake,mtu akikutwa ameva kofia au kitambaa rangi ya jeshi eti wanamgaragaza kwenye tope je hilo ni jeshi au uozo wa jeshi.
Siku ukikutana nao kawaambie wewe mwenyewe Dogo.
 
Back
Top Bottom