Afande 'Dhaifu'

Kama kuna aliyempiga picha ya kuonyesha sura yake huyu itakuwa poa sana.
 
Hebu niache bwana, kipi ambacho hujaelewa?
Au wewe ndio huyo afande nini?

Hahahaaaaa usipanic brother, najua unaongea sana kwa sababu wewe sio afande ila ndo ungekua huyo afande believe kwamba hapo ungebebwa tu maana huna nyenzo ya kukuvusha hapo, wala kuruka huwezi
 
du! katisha sana huyo askar ngoja nimsalim kidogo Jambo afande! tet umetisha
 
Hahahaaaaa usipanic brother, najua unaongea sana kwa sababu wewe sio afande ila ndo ungekua huyo afande believe kwamba hapo ungebebwa tu maana huna nyenzo ya kukuvusha hapo, wala kuruka huwezi

brother tena???
 
Huyu afande katia aibu sana leo.Naona hadi WAKENYA wanatucheka!

Hapo kwenye herufi kubwa hapoooo… ..mie huwa nacheka sana… ..kwa warwanda,wauganda,wareno na wasomalia Hawatatucheka:what::what::what::what::what::what::what:
 
Mimi nafikiri yeye anashiriki ktk kuongeza ajira hapa nchini wakuu. si amelipa ili kubebwa hapo 500/= imemtoka

Huyo hajalipa si mnaona kwenye daladala hawalipi?
 
Tofaut iliopo
 

Attachments

  • 1431064640177.jpg
    29.6 KB · Views: 163
kawaida saana hata ungekua wewe ni afande ungekubali hiyo situation cha kulowesha viatu na sox nini akat kuna huduma ya kubebwa??...hata naye ana hakii
 
Mwengine huyu..
 

Attachments

  • 1431072862559.jpg
    111.9 KB · Views: 122
Ndio maana tunayapigaga tuuu aya yanajali halii.. mimi jana nimezama na bakabaka langu kwenye maji kiroho safii nikaingia zangu kikosini.....awa ni raia wakakamavu sio askarii....
 
Hapo kwenye herufi kubwa hapoooo… ..mie huwa nacheka sana… ..kwa warwanda,wauganda,wareno na wasomalia Hawatatucheka:what::what::what::what::what::what::what:

Wale hawana viherehere kama hawa majirani zetu mkuu.
Mbona walishafungua na uzi kabisa kujadili hilo?
 
Mimi nafikiri yeye anashiriki ktk kuongeza ajira hapa nchini wakuu. si amelipa ili kubebwa hapo 500/= imemtoka

sheria ianwalinda wakivaa uniform huwa hawalipii usafiri, uwezekano mkubwa hapo alisafiri bila kulipa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…