Sio kama napenda wikendi ifike ili nisifanye kazi, ila wikendi ndio wakati ambao tunapunguza sarakasi za nchi hii. Kwa mfano wiki hii imekuwa na sarakasi nyingi kwenye hii episode mpya ya "Tanzania yetu yasonga mbele" baadhi ya sarakasi zikiwa;
Bunge kuanza likiwa halijajiandaa
Sakata la Lema kule Arusha na kunyimwa dhamana
Sakata la mkesha wa CHADEMA baada ya hapo na vurumai za wana CHADEMA na polisi
Kukamatwa kwa Mbowe
Issue ya ushoga ikiwa inaendelea
Na mengine lukuki...........................Ah nimechoka nayo na sasa wikendi ije ili watu waongelee vitu vingine bhana....