Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,079
Serengeti.
KIJANA mmoja aliyekuwa akisaka nafasi ya kujiung na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wilayani Serengeti mekufa wakati akimalizia mbio za kuzunguka mara nne uwanja wa mpira wa miguu. Tukio hilo ambalo limeibua simanzi kwa kundi la watu wengine waliokuwa kwenye harakati za kuonyesha uhodari katika kupoata ajira hiyo, lilitokea Aprili 30 mwaka saa nne asubuhi. Polisi walithibitisha kutokea ka kifo cha kiajana huyo ambaye alikuwa anapiginia nafasi ya kulitumikia taifa kupitia jeshi. Walioshuhudia tukio hilo walisema kwamaba mazoezi hayo ya kukimbia yaliyokuwa yakisimamiwa na mmoja wa wakufunzi wa mgambo wa wilaya. Ingawa alionyesha umahiri mkubwa wa kukimbia, ilipofikia mzunguko wa mwisho, ndupo akaanguka ghafka na kuopoteza fahamu. Walijaribu kumpa huduma ya kwanza lakini ikashindika ikabidi akimbizwe katika hospitalini teule ya Nyerere na alipopimwa, madajktari wakabaini kwamba amekwisha fariki, alisema mmoja waa mashuhuda hao ambao walizungumza kwa shari la kutotaja majina. Mganga mkuu wa hospitali hiyo Dk Amosi Kittoh alikiri marehemu huyo kufikishwa hospitalini hapo ,na kuwa baada ya vipimo walibaini kuwa moyo ulishindwa kufanya kazi. Mkuu wa wilaya hiyo Edward Ole Lenga, ambaye pia ni Mwenyekiti Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya na alikuwa akisimamia usaili huo alipoulizwa alikiri kutokea kwa kifo hicho. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mara Robert Boaz alikiri kupata taarifa za kifo hicho na kudai kuwa ni kifo cha kawaida kwa kuwa alikuwa kwenye mazoezi ya usaili. Kuhusu utaratibu unaotumiwa kuwapima afya wanaojiunga na jeshi, alisema hatua hiyo hufanyika baada ya kufaulu mchakato. Baadhi ya watu ambao wamekuwa wakifuatilia mafunzo hayo mara kwa mara walisema awali vijana wengi walianguka baada ya kuzidiwa wakati wanakimbia umbali wa kilometa tatu. teule ya wilaya,tayari kwa kusafirishwa kwenda Mwanza kwa mazishi.