Kumbuka Agency ni Mkataba... na Halmashauri ni Permenent!Aende agency halmashaur amna maisha
Agency wanajpangia mishahara ila hamashaur kuna njaa ya somalia
Halmashauri huko utafanya mambo yako hakuna mtu anajali, TARURA akienda ni KAZI tu,fitina na majunguWanabodi salama? Kheri ya Idd kwa nyinyi na Familia Zenu.
Nina mdogo wangu ni Engineer (Mambo ya Civil) kapata kazi Halmashauri (Permenent) ila Pia kapata Mkataba TARURA (Wakala wa barabara). Upande wa halmashauri Mshahara haufikii hata Gross ya 1M ila upande wa wakala anapata Gross ya 2M.
Changamoto ni kwamba Halmashauri ni Permenent ila maslahi kidogo, TARURA unafuu wa maslahi ila ni mkataba (Renewable). Achukue Maamuzi gani?
Asanteni!
Duuh kwahio aende zake Halmashauri sio!Halmashauri huko utafanya mambo yako hakuna mtu anajali, TARURA akienda ni KAZI tu,fitina na majungu
Kazi zote hazitoki utumishi, Kuna agencies zinaajiri zenyewe kazi za Mikataba, mfano TANROADS na TARURAHamna kitu kama hicho...kazi wanapanga utumishi imekuaje kapangiwa sehemu mbili....does not make sense
Tangu lini labda kama yupo kwa mkandarasi...Kazi zote hazitoki utumishi, Kuna agencies zinaajiri zenyewe kazi za Mikataba, mfano TANROADS na TARURA
Kwenye Mkataba wa kudumu huko ndiko tunaweza kufungua makampuni na biashara na tunasimamia ,hakuna majungu Wala kuajiri mtoto wa dada ,huko ndio kuna kupanda madaraja sio kwenye ku renew mikataba,hiyo 2m ataipata baada ya miaka 3 na ma deal kibaoDuuh kwahio aende zake Halmashauri sio!
Aende TARURA, halmashauri zipo tu.Kazi zote hazitoki utumishi, Kuna agencies zinaajiri zenyewe kazi za Mikataba, mfano TANROADS na TARURA
Watumishi wa TARURA hawaajiriwi Moja kwa Moja na TAMISEMI..Tangu lini labda kama yupo kwa mkandarasi...
Sio kila agency n mkataba mzee lkn hata kama n mkataba wa 5 yrs renewbl au unspecfide cntract halmashaur mtu atafanya kaz miaka 10 Ndio amfkie agency aleifanya kaz miaka 4Kumbuka Agency ni Mkataba... na Halmashauri ni Permenent!
Ety njaa ya somalia kwann mkuu?Aende agency halmashaur amna maisha
Agency wanajpangia mishahara ila hamashaur kuna njaa ya somalia
Akakomae na Mkataba sio!Namshauri aende Agency ,tena hao wanajikuta ngoza ...Kamq yuko makini apambane huko TARURA ...Hayo majungu dawa yake ni mikausho mikali .
Halmashauri mabosi wengi mpaka viongozi wa CCM kama madiwani wnaakupelekesha.
Nadhani ingependeza kama ungefafanua huko TARURA amepata mkataba wa muda gani na kama ni renewable au non renewable. Kama mkataba ni wa mwaka 1 ushauri unaweza kubadilika otherwise namshauri aende TARURA.Wanabodi salama? Kheri ya Idd kwa nyinyi na Familia Zenu.
Nina mdogo wangu ni Engineer (Mambo ya Civil) kapata kazi Halmashauri (Permenent) ila Pia kapata Mkataba TARURA (Wakala wa barabara). Upande wa halmashauri Mshahara haufikii hata Gross ya 1M ila upande wa wakala anapata Gross ya 2M.
Changamoto ni kwamba Halmashauri ni Permenent ila maslahi kidogo, TARURA unafuu wa maslahi ila ni mkataba (Renewable). Achukue Maamuzi gani?
Asanteni!
Mkataba ni Mwaka mmoja ila Renewable, Halmashauri ni PermenentNadhani ingependeza kama ungefafanua huko TARURA amepata mkataba wa muda gani na kama ni renewable au non renewable. Kama mkataba ni wa mwaka 1 ushauri unaweza kubadilika otherwise namshauri aende TARURA.
Kama halmashauri analipwa nusu ya hela anayoenda kulipwa TARURA maana yake alifanya kazi miaka 5 TARURA ni sawa na kufanya kazi miaka 10 halmashauri