Advocate Philbert Gwagilo Amepotelea wapi????

Advocate Philbert Gwagilo Amepotelea wapi????

Mugabe wa Bongo

Senior Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
145
Reaction score
73
Mwezi March mwaka huu 2015,Taarifa ilitoka ya kupotea kwa Wakili Philbert Gwagilo ambaye ni mwenyeji wa Dodoma,Ambapo kwa mujibu wa chanzo cha taarifa hiyo kilieleza kua Gwagilo alipotea katika mazingira ya kutatanisha,huku kukiwa hakuna mwenye taarifa kuhusu wapi Ndugu yetu Philbert Gwagilo amekwenda au amepotelea...
Gwagilo Alisoma Shule ya Msingi Mlimwa,Then Dodoma Secondary,Kisha Mpwapwa Secondary na baadae kujiunga na Chuo Kikuu UDSM, ambapo baadae alifanya Law School...na kuanza kazi ya Uwakili...
Wanajamvi wenzetu Je kuna mwenye taarifa yoyote kuhusu Wapi alipopotelea Advocate Philbert Gwagilo...au nini inawezekana Hatukijui kuhusu kupotea kwake.
Nawasilisha.
. 1430936214578.jpg
 
Hii ishu nimeisikia wanatangaza kanisani kwetu kuwa huyu jamaa amepotea na hajulikani alipo.

Inabidi wafuatilie kesi alizokuwa anasimamia, huenda amegusa maslahi ya wakubwa
 
Back
Top Bottom