Aya mambo ya kazi jamani tuwetunajiongeza wenyewe, ukiona huitwi kwa interview ujue haujakuwa shortlisted ingawa makampuni mengi interview ni kwa ajili ya kutimiza taratibu za kampuni kwa kutangaza kazi na kuita watu kwa interview lakini watu unakuta tayari wameshaandaliwa na wenye ndugu zao.