Adui wa maendeleo ya Kiteto anafahamika

Sonofsoil

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
2,126
1,176
Wiki iliyopita watu wanaosadikika kuwa siyo raia watanzania walihisiwa kufanya kazi kwenye biashara na mashamba ya Emanuel Papian.

Hili tatizo halikuanza jana wala juzi, limekuwa hivyo tangu jamaa huyu alipoanza kufanya biashara zake jumla na za kilimo.

Kabla hajapata uongozi aliazisha vuguvugu la kuwavuruga viongozi wa halmashauri ya Kiteto. Hadi leo watumishi wengi wameshaumia kupitia huyu bwana. Bahati nzuri sana Kiteto imebahatika kupata DC mzuri na mwenye upeo.

Tangu huyu DC Tumaini alipoteuliwa Kiteto tumepata matumaini makubwa na faraja kubwa. Tumeishi kwa amani kama ndugu na watu wataifa moja. Lakini Papian ameendelea kuwa kikwazo cha amani yetu.

Tunamshukuru Waziri Mkuu kwa kungamua janja ya huyu bwana kwa kuwa hana hata chembe cha uzalendo. Anayo dharau kubwa kwa wa Tanzania.

Hatutaki kurudia dhambi zake za awali 2012/2014 hii tunaichia serikali ya awamu ya awamu ya tano ifuatilie haya ili kubaini ukweli.

Wakati ni huu wakujuwa kama huyu bwana ni jipu au la. Lazima afahamu kuwa watu wa Kiteto hatukufurahishwa na mabango yale aliohamasisha watu wayabebe kwenye mkutano wa PM.

Tunamsihi huyu bwana ajifunze ustaarabu na uungwana wa kitanzania na siyo vinginevyo.

Awaheshimu watanzania hata kama hataki kuwapa kazi japo inajulikana anafanya hivyo ili kuficha siri zake za kule anakotoka.
 
Huwa nacheka sana ninapoyasikia mataahira ya Kiteto yakipiga kelele kweye mitandao kama hivi! Kama yote mnayajua ilikuwaje mkamchagua kuwa mbunge wenu? Au mkuu alikuangusha kwenye kura za maoni? Isije ikawa wewe ni Ole Nangore unakuja kupiga kelele hapa JF? Inavyoonekana jamaa pamoja na kujulikana kwamba ni Mtusi lakini wananchi wanamkubali ndo maana aliongoza kwenye kura za maoni CCM na kwenye sanduku kubwa akambwaga jamaa yetu wa UKAWA!
 
Back
Top Bottom