Confirmation link haikuja!? Nitafaganua hatua zotehebu fafanua yani elezea step by step kwamba ukishafungua hiyo link uingie wapi na ufanye nini mfano mi nimejiregister as a publisher,nimweka detail zote wameniambia watatuma sms kwa email but hola.
minimum views inatakiwa iwe ngapi?Ndio lugha yoyote ila jitahidi hiyo blog iwe na views za kutosha kwa siku
Haijalishi ukiwa na viewers wengi ndio utaona faida yake vinginevyo kwa kweli utakuwa unapoteza muda kwa malipo kidogoo hata hiyo $100 unaweza usifikisheminimum views inatakiwa iwe ngapi?
BADO HAIJAJAConfirmation link haikuja!? Nitafaganua hatua zote
ILA SOMETHING IS BETTER THAN NOTHINGHaijalishi ukiwa na viewers wengi ndio utaona faida yake vinginevyo kwa kweli utakuwa unapoteza muda kwa malipo kidogoo hata hiyo $100 unaweza usifikishe
Ndio lugha yoyote ila jitahidi hiyo blog iwe na views za kutosha kwa siku
Fungua akaunt ya benk ya equity bank we nenda na kitambulisho chako na 10000 siku hiyo hiyo utapewa visa card ambayo taarifa zake utaweza kuzijaza huko panapohitajikaMimi blog yangu kwasiku napata hadi viewers 10,000 ila sina account ya banking. ..nitafanyaje
Naaomba namba yako yasimu tuwasiliane
Hawa jamaa zako wazushi sana mpaka leo hawajanitumia email wakati nimeshajisajili kwenye akaunt yaoFungua akaunt ya benk ya equity bank we nenda na kitambulisho chako na 10000 siku hiyo hiyo utapewa visa card ambayo taarifa zake utaweza kuzijaza huko panapohitajika
Uh Facebook unapigaje pesa broSasa hivi tumehama huko tunatumia Facebook kupiga mkwanja mnene.
KAMA una habari za kukopi ndugu sahau kabisa kupewa adsense,mfano tembelea "udaku special" uone mwana hana hata tangazo moja licha ya kuwa mkongwe kazini,halafu tembelea blog moja ya kawida sana "kwata unit" uone jamaa kajaziwa matangazo mpk wivu mamamamamaeeee daah,hawa tofauti yao ni content mmoja nakopi and paste saaaanaa halaf mwingine ni content ya kwake mwenyewe, ila mdogo mdogo tutatoboa tu,mi ndo kwanza nina views 100,000 na nina mwezi tu kazini.Mimi blog yangu kwasiku napata hadi viewers 10,000 ila sina account ya banking. ..nitafanyaje