Adsence nyingine tofauti na Google!

Adsence nyingine tofauti na Google!

Abdclassic

Member
Joined
Jul 13, 2017
Posts
95
Reaction score
42
Natafuta adsence wengine ukitoa google adsence ambao hawana masharti sana
 
Propeller Ads ni nzuri kiasi, lakini matangazo ya pop up yanaweza kukupunguzia watembeleaji wa site yako
 
Kwa wale wazaramo wa kawaida hapa hatugusi, sijui adsense, sijui propeller shaft, sijui gugo. Kwaherini
 
Wakuu Hizi mambo zinalipaje? Vipi kwa mtu ambaye uko Busy
 
Wanalipa au
Wanalipa VP? Ww sign up free utapata code(script) za kuweka kwenye template ya blog yako baada ya hapo kwenye mobile theme ya hiyo blog yako set custom hapo utakuwa umemaliza kinachobaki kazi ni kwako kupata watembeleaji wengi kwenye blog: kiwango cha chini kutoa ni $100 malipo kwa njia ya payoneer ama PayPal
Na njia nyingine nimesahau
 
hebu fafanua yani elezea step by step kwamba ukishafungua hiyo link uingie wapi na ufanye nini mfano mi nimejiregister as a publisher,nimweka detail zote wameniambia watatuma sms kwa email but hola.
 
Wanalipa VP? Ww sign up free utapata code(script) za kuweka kwenye template ya blog yako baada ya hapo kwenye mobile theme ya hiyo blog yako set custom hapo utakuwa umemaliza kinachobaki kazi ni kwako kupata watembeleaji wengi kwenye blog: kiwango cha chini kutoa ni $100 malipo kwa njia ya payoneer ama PayPal
Na njia nyingine nimesahau
Vp wanakubali blog za kiswahili..??
 
Back
Top Bottom