Electronic naielewa vizuri tu lakini mimezamia sana kwenye mambo ya kuuda amplifier yaani zaivi naziunda mpaka za watt 100
Lakini hichi chombo ndo nilitaka kujua kazi yake ase na kinatumia control ya simu au la?
Asantee mkuu kwa hapa tz zinapatikana wapi mkuuUtakuwa unajua elektroniki ya anlogue , amplifaya za switch za on and of na transistor kibao ikiwa unataka kutengeneza amp ya digital iwe na display button za kugusa , volume za digital basi unahitaji microcontroller kifupi tu niishie hapo naona unahitaji somo
Naipataje hii mkuu ili niwenayo bn maana haya mambo ya ki electronic nayajua sana lakini hii kitu kiukweli ilikua siifahamu .Kazi yake inategemea mzingira, mfano remote control sensor
Asantee mkuu kwa hapa tz zinapatikana wapi mkuu
Yap. Inafanya kazi nyingi sanaNi sawa inamaana kwa mfano mi nimetengeneza amplifier lakini audio resiver yake haina remote control
Inamaana ningekua na hicho kifaa nigeweza kuitengenezea remote reserve yangu et
Asante sana mkuu samahani lakini kwa maswali lakini ndio kujifunza kwenyewe vipi naweza kujifunza kwa njia ya mtandao yaani hata niwe nalipia maana nipo singida Mimi aise.Zipo tu soma kidogo namna ya kutumia zinapatikana ubongo,na makumbusho vijana wa dit,ud na vyuo wanaosoma computer engineering,na elektroniki ,ukimpta wanapajua maana kila mwaka kuna project za vifaa hivyo
Laa! nimeitamani sana ila kwa huku kwetu singida sizani hivyo vifaa kama vinapatikana ase ila kwa nilivyoona inafaa niwe nacho .Yap. Inafanya kazi nyingi sana
bonge moja la forum ila sijui kwanini limepoa, au wa africa hatupendi ku entertain izi vitu
kabisa mkuu kwa urahisi ungeweza kuchukua ic inayotumika kwenye arduino ambayo ni atmega328 na vifaa vingine kama ir receiver kwa ajili ya kupokea mawimbi ya remote yako, transistors ukazitumia kama switch zako na vinginevyo ili kupata hyo circuit.Ni sawa inamaana kwa mfano mi nimetengeneza amplifier lakini audio resiver yake haina remote control
Inamaana ningekua na hicho kifaa nigeweza kuitengenezea remote reserve yangu et
Mkuu vp nipo interested sanaa na embedded system unapatikana wapi angalau unipe ideaa za hii kituuArduino ni microcontroller device ambayo inaweza kuitumia kutengeneza vifaa mbalimbali vinavyo hitaji microcontroller, Arduino imelahishwiswa zaidi kwani kuna post na usb port kwa ajili ya data pamoja na software yake ya kufanya configuration , nilipokuwa chuo nimefanya project ya ground tank fuel level and water detection system nilitumia Arduino mega na sensor kibao View attachment 1091530View attachment 1091531