Adruino

zakayoyoung

Senior Member
Joined
Apr 9, 2019
Posts
140
Reaction score
38
Adruino hiki kifaa kinapatikana wapi na kina kazi gani maana nimeingia YouTube nikakiona na nimetaka kukifahamu zaidi

Wanaokijua nisaidieni
.........asanteni..
 
Arduino ni microcontroller device ambayo inaweza kuitumia kutengeneza vifaa mbalimbali vinavyo hitaji microcontroller, Arduino imelahishwiswa zaidi kwani kuna post na usb port kwa ajili ya data pamoja na software yake ya kufanya configuration , nilipokuwa chuo nimefanya project ya ground tank fuel level and water detection system nilitumia Arduino mega na sensor kibao
 
Tatizo upataji wa hizi components ni shida mpaka uagize mitandaoni na hill ndio tatizo
 
Kama kuna mtu anagroup la kuuza hizi microcontroller ani add via 0654444064
 
Inabidi usome elektroniki utapata tabu sana na maswali yako kama ujui matumizi ya microcontroller ni vizuri sasa uanze kusoma hata mwenyewe kwenye mtandao wewe Google microcontroller utapata masomo tu tosha
Kazi yake kubwa ninini hasa
 
Inabidi usome elektroniki utapata tabu sana na maswali yako kama ujui matumizi ya microcontroller ni vizuri sasa uanze kusoma hata mwenyewe kwenye mtandao wewe Google microcontroller utapata masomo tu tosha
Electronic naielewa vizuri tu lakini mimezamia sana kwenye mambo ya kuuda amplifier yaani zaivi naziunda mpaka za watt 100

Lakini hichi chombo ndo nilitaka kujua kazi yake ase na kinatumia control ya simu au la?
 
Kazi yake inategemea mzingira, mfano remote control sensor
Ni sawa inamaana kwa mfano mi nimetengeneza amplifier lakini audio resiver yake haina remote control
Inamaana ningekua na hicho kifaa nigeweza kuitengenezea remote reserve yangu et
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…