ADONAI Mtakatifu

ADONAI Mtakatifu

canular

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
1,068
Reaction score
1,268
Ewe Bwana Mungu, Baba Mtakatifu, Mwenye Nguvu Zote na Mwenye Huruma, ambaye umeuumba vitu vyote, unaojua vitu vyote na unaweza kufanya vitu vyote, ambaye hakuna kilichofichwa kwako, ambaye hakuna kisichowezekana kwako;

Nina mshitaki kwako Huyu mwanamke Samia Suluhu Hassan aliyepokea uongozi kutoka kwa mwenda zake Samia kajaribu nguvu zako, ameuwa watanzania wenzetu ili watanganyika walio bakia tuweze kuishi kwa amani katika roho zetu kwa msaada wako, ewe ADONAI Mtakatifu Zaidi, ambaye Ufalme na Nguvu Zako hautakuwa na mwisho hadi Vizazi vya Vizazi ondoa kila alie ondoa uhai wa watanganyika ondoa kila alie shiriki kuumiza watanganyika katika taifa letu . Amina. 2026 Samia must Go
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom