poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
- Thread starter
-
- #21
Sawa mtaalam tutafata maelekezo Yako.Fuata maelekezo wewe fuata maelekezo acheni janja janja maelekezo yanasemaje? Au ndio shule ngumu?
Windows uliyonayo ni below expectations kwa hio umepewa uelekeo kwamba ili hio setup iingie weka Windows 10 version 1803 or later
Windows 10 — Download All ISO Releases
Download official Windows 10 ISO disk images. Browse every available release and version of Windows 10.www.getmyos.com
Windows 10 latest versions hizo nimekupa link ushindwe mwenyewe tu kuzidownload na kuendelea na Mambo mengine, namaanisha latest version wewe unatumia Old versionSawa mtaalam tutafata maelekezo Yako.
Shukrani sana Kwa msisitizo wa ushauri wako. Ubarikiwe sana.
Don't run around the bush go straight mwambie maelekezo kwenye screenshot uliyoiweka humu yanasema uweke windows 10 latest kuanzia version 1803 na kuendelea uninstall hio Os uliyonayo sasa weka Os nyingine sio unamung'unya manenoSystem incompatibility
Nadhani hapo toleo ambalo ni advanced litaloweza kuendana na OS yako ni Ps 2019
Kuanzia 2020 na kuendelea hasi support kwenye Windows yeyote ambayo iko chini ya 10
Hata zile cs6 nazo za kisasa nimeziona zinagoma ku support kwenye Windows za kizamani.
Inakugomea mwanzoni au mwishoni mwa hiyo process ?Nimejaribu Master collection na separate zote zimekataa
Unataka aforce kisichowezekana? Ungekua wewe ungeweza?Inakugomea mwanzoni au mwishoni mwa hiyo process ?
Mwanzo tu asilimia 5Inakugomea mwanzoni au mwishoni mwa hiyo process ?
Kuaccept Kila notification w/o more test ....Kuna msg unaweza letewa ukaishia hapo na kutii ... Hulu Wengine wanajaribu na wanapita nayo.Unataka aforce kisichowezekana? Ungekua wewe ungeweza?
Nvidia GPu... Technical Specification kwa ajili ya graphics ... Nvidia Driver Version sahihi inaweza kuwa solution lakini hutegemeana na Window unayoitumia.Mwanzo tu asilimia 5
Mkuu japo mie sio mtaalamu wa IT mie ni muuza majeneza tu lakini hapo mbona simple tu kila kitu kimejielezaHabari Wakuu
Najaribu kuInstall Adobe kama Premiere, Audition, Photoshop na zingine lakini
inakataa na kunipa ujumbe (Angalia picha hapo chini) na nimejitahidi kupata maelekezo kupitia google na Youtube sikufanikiwa.
Mwenye kujua naomba anisaidie.
View attachment 2815156