Adobe reader kwenye Simu Yangu inagoma kufunguka. Msaada please! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adobe reader kwenye Simu Yangu inagoma kufunguka. Msaada please!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by RGforever, Aug 30, 2011.

 1. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Nina simu aina ya Nokia E65, mwanzoni ilikuwa inafunguka kama kawaida lakini sa hvi inagoma.. Nimejaribu kudownload nyingine, installation inakataa na kuandika "Unable to Install component built in" nimejaribu pia ku-unstall iliyokuwepo pia hakuna options za kuiremove.. Sa sijui kunatatizo gani. Please mwenye ujuzi anisaidie
   
Loading...