Good Guy adobe indesign kwa magazine ndo nyumbani kwake, photoshop ni kwa ajili ya cover graphics, na graphics za ndani, lakini layout na mbwembwe zingine indesign. Nilitengeneza full magazine template page 40, na cover lake kabisa, ila ni miaka mingi, sijui km nnayo bado...
utatumia nguvu nyingi kutengenezea photoshop, kwanza kila toleo kuedit itakuwa balaa,