Adobe Photoshop Discussion

Mimi naitafuta sana hiyo CS6 ninayo CS4 mwenyenayo afanye manuva niipate basi.
 
kama kuna mtu yeyote anajua site nzuri ambapo tunaweza pata Templates nzuri za Photoshop,Atuwekee hapa
 
kama kuna mtu yeyote anajua site nzuri ambapo tunaweza pata Templates nzuri za Photoshop,Atuwekee hapa

Kwa nini usijifunze mwenyewe kutengeneza good looking templates kuliko kuchukua aliyofanya mtu...
 

Mkuu Ushawahi kutumia photoshop cs4??..kama ndio,inatofauti gani na hizo cs6 na cs8?
 
Mimi naulizia kama naweza ipata direct link ambapo naweza idownload maana mimi bado nipo nyuma sana natumia cs3.....
 
Naweza ipataje hiyo cs6 maana kila nikiitafuta siipati direct linki ili niidownload maana me ntumia cs3
 
Kwann tusianzishe whatsapp group Ya Photoshop corner?
 
Jamani mwenye nayo share nasisi tuipate.
Nmeitafuta mpaka basis sasa nmechoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…