bado sijakuelewa mkuu.title inasema "adobe photoshop CS3 Video tutorials".maelezo yanasema video tutorials za adobe cs3.anyway njia rahisi ya kupata tutorials za software zote na za adobe zikiwepo ni kupitia mtandao wa youtube.huko utakutana na tutorials nyingi zilizo kuwa uploaded na mabingwa mbalimbali wa software za graphics,animation,video editing nk.ku-download ni bure hulipi chochote.ni ku-subscribe tu.hapa nakuwekea tutorial ya adobe after effect toka kwa bingwa mmoja anaitwa endrew kremer,huyu dogo anachezea almost software zote hata hiyo photoshop.kama vp subscribe kwenye channel yake ujifunze mengi zaidi.Heshima kwenu wakuu.
Straight to the point,
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata video tutorials za adobe CS3.
I real need it.
Nimejaribu sana kucheck kwenye net ila kama hujui how and where to it ,find it's real hard.
Mi niko Dar so kama kuna mtu anaweza kunipa soft copy nitashukuru.
Nyingi za kwenye net zinauzwa ndo shida yenyewe.
Thank you guys.
bado sijakuelewa mkuu.title inasema "adobe photoshop CS3 Video tutorials".maelezo yanasema video tutorials za adobe cs3.anyway njia rahisi ya kupata tutorials za software zote na za adobe zikiwepo ni kupitia mtandao wa youtube.huko utakutana na tutorials nyingi zilizo kuwa uploaded na mabingwa mbalimbali wa software za graphics,animation,video editing nk.ku-download ni bure hulipi chochote.ni ku-subscribe tu.hapa nakuwekea tutorial ya adobe after effect toka kwa bingwa mmoja anaitwa endrew kremer,huyu dogo anachezea almost software zote hata hiyo photoshop.kama vp subscribe kwenye channel yake ujifunze mengi zaidi.
kwanini usijaribu kujifunza using vitabu?? kuna vitabu vingi vya .pdf naweza kukupa links if u are interested.
P.S hongera kwa kujifunza ps, tena kwa kutumia CS3, ndo the very best ukiniuliza for beginners
made from my CS3-->
check out hizi mbili, nimejifunza pia photoshop kwa vitabu na sasa nipo kwenye level zingine za photo editing 🙂
The Photoshop Book for Digital Photographers
Adobe Photoshop CS5 Classroom In A Book
more cs3 stuff by urs truly 😛
nipo kwa kusaidia 🙂You are very kind,
thank you very much.
nipo kwa kusaidia 🙂
naomba tu kitu kimoja.. unipe "like" au unipe "reputation" kwa kubonyeza hicho kistar chini ya thread yangu kwa kuwa nataka kukusanya as much reputation na likes as possible coz kuna siku nataka nifanywe moderator wa tech gadgets and science forum
asante, leh
Ntawagongea like wote ila kwa sasa mnivumilie coz natumia simu.
kabla sijasahau Tiger, niko in the process ya kuandika thread kuhusu kutengeneza animated gifs. wewe kama web designer inabidi ujue kutengeneza gifs kwa kuwa zinatumika sana sana kwa html. sijui kama unajua kutengenza au unatumia program ipi (mi napendelea adobe fireworks for my animations ila coz sio popular naelekeza kwa kutumia photoshop) so kama vp uje ucheki sijaona tutorial nyingi kuhusu gifs out there. ninaanza na something simple ila siku ziendavyo nitafunza advanced gif making.
regards, leh
ninazo video tuts from lynda.com za photoshop cs4 essential +advanced, html +xhtml, joomla, wordpress, php & mysql, javascript, css, sql..... zingine ni za 3d modeling & animation
Ntazipataje mzee wa javascript?
ninazo video tuts from lynda.com za photoshop cs4 essential +advanced, html +xhtml, joomla, wordpress, php & mysql, javascript, css, sql..... zingine ni za 3d modeling & animation