sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,285
Nna hizo software zote mbili dreamweaver cs6 na photoshop cs5. kuna ishu moja nataka kufanya ya kutengeneza kitu kama magazine hivi..kabla ya hapo nilikuwa nikitumia sana Fireworks kwa designing ya vitu vya kawaida, pia kitanbo kidogo nilishawahi kutumia sna photoshop nafkiri ilikuwa v2 au cs2 skumbuki maana nlishai delete..so kwa ishu hii nafkiria kuanza kutumia moja kati ya hizi..hivyo kwa wale waliowahi kuzitumia naombeni mnishauri..ipi itakuwa bora zaidi kutumia ili ni install na kuanza nayo taratibu..