Adobe CS 6 for 20,000 Tshs only

Adobe CS 6 for 20,000 Tshs only

full Adobe CS 6 for 20,000 Tshs only + free copy.
Call 0789741582

We imekufa kweli wakati softwere hiyo mimi nikiweka buku tu nikilala asubuhi nimeshaipata ya wizi , ishirini si bora nile kitimoto na mama facebook pale tunapokutana
 
We imekufa kweli wakati softwere hiyo mimi nikiweka buku tu nikilala asubuhi nimeshaipata ya wizi , ishirini si bora nile kitimoto na mama facebook pale tunapokutana

Hahaha unajua kuna watu wanafikiri sijui kila mtu ni limbukeni/kilaza...dah hivi huyu mleta mada anaijua hela sawa sawa lakini ?? Tehe
 
umenoa kaka hiyo mbona watu tunapiga buree na hela ya bando tu inapakua GB zote hizo
 
Kuna watu vimbelembele tu. Hizi Software mbona zinauzwa hata kariakoo?! kama wewe unaweza download for free isiwe sababu ya kumuharibia mtu biashara yake.
 
Back
Top Bottom