Adobe After Effects & Premiere Pro

arnolds

Senior Member
Joined
Oct 10, 2009
Posts
105
Reaction score
57
Wadau natafta msaada kwa yeyote anayefaham wap hapa Dar naweza pata short courses za Adobe After effects na premiere pro!..Sio lazima iwe ni chuo au taasisi rasmi, hata kama ni mtu binafsi hamna tatizo..
natanguliza shukrani zangu!
 
Kwakweli vyuo vyetu hakuna hapa labda wanaojalibu ni wahindi so angalia vyuo vya wahindi ukishindwa nenda Uganda au Kenya ndio utakuta hiyo kitu lakn Bongo labda wahindi ndio wanaojalibu jalibu sawa
 
hebu nipe namba yako kwenye pm naweza kukusaidia kukuunga na jamaa flani anakaa pale upanga anahusika na utengenezaji matangazo mengi ya tv labda he might help you kwakuwa ni among the softwares nazoona anatumia often
 
Nenda DIT mtafute Mwlm Mwalembe atakusaidia
 

Je kama hawezi kujisomea mwenyewe mpaka apigwe blashi ndo ajue nini anafanya maana inawezekana na internet ni tatizo ni wazo tu..
 
Je kama hawezi kujisomea mwenyewe mpaka apigwe blashi ndo ajue nini anafanya maana inawezekana na internet ni tatizo ni wazo tu..
hatujajua kwa mtoa mada kaka... ila kiukwel internet inasehem yake tena kubwa kwa insu kaa izo huwez kuikwepa kama kwel umeamua...usitegemee mwlm atakufundsha kila ki2...unaweza kuwa mzur kuliko mwlm...mtizamo tu.
 
Oyo huku kitaa kuna wana wanafundisha hzo mambo ila darasa ndo linaanza j3 kama vp unakaribishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…