khabari zenu wana jamii. Kwa muda wa siku 2 sasa napata error code 130:3 kwenye AE CS4..... ningependa kusaidiwa jinsi ya kuhandle hili tatizo. Nimegoogle na inaonekana tatizo inaweza kuwa ni fake serial no. Kama unapatch ya hii kitu fanya kutupia hapa usaidie umati.... Shukrani......