DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
mwizi wa kura ni kama mwizi anayevunja duka, kuiba fedha na kufanya matukio mengine kama hayo hivyo anapaswa kushughulikiwa kama wezi wengine.
Akizungumza leo Juni 18, Katika viwanja vya Bakhresa, Manzese Ubungo Dar Es Salaam, Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu Ado amesema kuelekea uchaguzi Mkuu watadhibiti wizi wa kura.
Chanzo: Jambo Tv