kama ndio hivyo...
Membe ajiunge na NCCR,huko ata shine zaidi kuzidi ACT ya Zitto ambako akikosa urais atabaguliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Si alifukuzwa ccm? kwanini asiwe na haki ya kutafuta chama?
Chadema haikufanya makosa na walipata faida kubwa sana ya kumchukua lowasa
Wamiliki wa JF hebu badirisheni hii skin ya muonekano wa JF, rudisheni ile ile au nyingine. Hii ya sasa haina muonekano mzuri
ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.
Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
Uzuri ACT wanaongea kabla ila chadema walishtukiza tu,mara lowasa tayari kawa mgombea
Si alifukuzwa ccm? kwanini asiwe na haki ya kutafuta chama?
manyaganyanza
Political enterpreneurship. Hapo inapigwa hesabu kali ya kupata walau 5% ya kura ili kutimiza sharti la kisheria katika mpango mzima wa ruzuku.ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.
Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
Watu hawataki demokrasia ya kweli, kila mtu ana uhuru wa kushirikiana na yeyote yule kisiasa.Si alifukuzwa ccm? kwanini asiwe na haki ya kutafuta chama?
Chadema walitukosea sana,hakika baada ya kuanza campaign nitahama hiki chama japo sitaenda nyinyiemuChadema haikufanya makosa na walipata faida kubwa sana ya kumchukua lowasa
Mimi nitaipaNaye huyo atakayeipa kura act sababu ya membe itabidi ajitathimini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema walitukosea sana,hakika baada ya kuanza campaign nitahama hiki chama japo sitaenda nyinyiemu
Sent using Jamii Forums mobile app