Alex Hype Massachers
Member
- Feb 21, 2012
- 9
- 2
Kiungo wa Manchester united,Mwenye asili ya Albania na raia wa Belgium,Adnan Januzaj(Miaka 18) Amebakisha Miezi 8 Mkataba wake kuisha katika Klabu yake ya Manchester utd na Anatakiwa na Vilabu vya Real Madrid,Juventus na Bayern Munich.......na Jana Viongozi wa Man utd jana Mchana walikaa na Kiungo huyo Chipukizi kwa ajili ya Kujadili Mkataba Mpya wenye thamani ya Paund 60,000 kwa Wiki na Kwa Mujibu wa sheria za usajili Adnani Januzaj ana uamuzi wa kusain Pre contract na Klabu yoyote inayomuhitaji.