Mwamgunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 247
- 48
Majungu? Nani kasingiziwa? Nani kapakaziwa? Kwani hayo yote si yamekuja baada ya kuwafunga vibonde Sunderland? Kuna jungu hapo?
Wee jamaa mbn una wivu wa kike, umevurugwa nini?
Majungu? Nani kasingiziwa? Nani kapakaziwa? Kwani hayo yote si yamekuja baada ya kuwafunga vibonde Sunderland? Kuna jungu hapo?
Usiamue kwa kudhani, mwisho wa yote unachokitetea ndicho ninachomaanisha. Hajawa bado, huend atakuwa!
kiukweli dogo uwezo upo....kama analipwa 10000 pound kwa wiki a'fu wanataka wamwongezee ifike 30000 ni ndogo. Kuna wavivu kibao wanalamba mkwanja wa maana na hawana mchango sana kwenye timu. Mfano, Demba Ba, Fernando Torres, ni wavivu na kwa sasa wamebaki majina tu.
Adnan Januzaj turns down Belgium approachKuna Tahira mmoja wa Manne United anasema Belgium ina pigania kumpata Januzaj ili aichezee Belgium! kwa taarifa yake tu
-Belgium haijagombea kumpata januzaj
-Belgium haifahamu hata kama kuna mtu anaitwa Januzaj
-Belgium kugombea mchezaji haitatokea kwani ina wachezaji wa kumwaga kama vile Spain,Brazil.
-Januzaj anagombewa na mataifa yasiyokuwa na wachezaji kwa mfano england,Kosovo,Turkey,albania!
-Hata kama januzaj akisema hataichezea belgium,hataipunguzia kitu belgium,yeye kwa belgium ni sawa na tone la maji ya chumvi katika maji ya bahari
Belgium kuna Chadli,Witsel,Mirallas,Hazard,! Wote hao viungo wa pembeni!! Hao walotajwa hapo hakuna wa kuwekwa bench na hako katoto kalikowafunga washika mkia Sunderland!!
Unadhani kwamba ndio kwanza nimemwona kwenye mechi na Sunderland.kudhani kivipi??nimemuona anacheza sio jana wala juzi kama wewe ulivyomuona man utd vs sunderland[au ulivyoanza kumsikia baada ya kufunga magoli mawili vs sunderland]
Wivu na mapenzi ni pande mbili za sarafu moja, isije ikawa wewe ndiye mwenye mapenzi ya kike!Wee jamaa mbn una wivu wa kike, umevurugwa nini?