Abdul mdachi
Member
- Nov 9, 2014
- 46
- 2
Huo ni mtazamo wako ndugu, ila kaa ukijua wataalam weng hasa wa masuala ya afya na IT Wapo kule, kwnn wagonjwa weng wanakwenda kutibiwa hk? Cz kuna madaktari bingwa. Ni hayo 2.