Admission to universities

Utajuaje kama haujawa selected? Maana nimeona kwenye web yao TCU wametangaza nafasi ya pili ya kuapply kwa wale ambao hawajachaguliwa na wale ambao hawakuapply, naombeni msaada kwa hili maana kuna mdogo wetu anasumbuka sana, pia inakuaje ameapply mapema kozi zote zilikuwa illegible mpaka wanafunga applications ila jana anaangalia kakuta 2nd choice yake wameweka not illegible...

wametoa majina 8805 kwenye website yao jana ya ambao hawajachaguliwa first round selection.
 
Kwa wale ambao mnatakiwa kujaza upya mnatakiwa mjue course ambazo mnatakiwa mjazee! Coz kuna zngne zimejaa! So angalia kwenye profle yako sehemu ya 'application' ndo kuna ''available course with slots'' so ni hayo tuu, kwenye kujaza (ukiona baadhi ya course hazipo ujue zimejaa hazipokei tena wanafunzi)!! Overrrrrrrr
 
Jamani mie mwenzenu hawa watu wamenichosha na haya matangazo yao yasiyo na ukweli wowote. Nimemwandikia Katibu Mtendaji wa TCU barua hii na sijapata majibu:

Nimefurahia huo ujumbe wako kwao. Hata ndugu yangu naye alifanya RPL exams, lakiini amechoka kwenda net kila siku kutazama kama anaweza kufanya application.

Yaani hawa jamaa ni hovyo sana. Hawajui kuna watu wanataka kupata taarifa mapema ili wajiandae. Hawajui jinsi wanavyosababisha kero kwa wengine. Halafu eti hiyo ni Taasisi ya vyuo vikuu...Efficiency zero.
 
sasa wametoa majina 8805 ambao hawajachaguliwa first round slection hivyo wanatakiwa wafanye selection upya kwa maelekezo maalumu,cheki website yao,mwisho tarehe 9 august 2013.
Mie namshukuru Mungu nimechaguliwa. Majibu niliyasoma kitambo sana toka yalipowekwa kwenye website ya UDOM. Ngoma ikabaki kwenye kuomba chuo kwani lazima upitie CAS inayoratibiwa na TCU. Kila siku wakawa wananichanganya na matangazo ya majibu na application. Mara wataoa kesho mara, kesho-kutwa mara mtondogoo. Yaani kazi ya kuchukua soft copy ya matokeo kutoka UDOM na kui-format na ku-upload kwenye Database yao imechukua zaidi ya wiki mbili. Ku-activate link ya application imechukua zaidi ya siku tisa! Yaani hovyo kabisa hawa.
Nimefurahia huo ujumbe wako kwao. Hata ndugu yangu naye alifanya RPL exams, lakiini amechoka kwenda net kila siku kutazama kama anaweza kufanya application.

Yaani hawa jamaa ni hovyo sana. Hawajui kuna watu wanataka kupata taarifa mapema ili wajiandae. Hawajui jinsi wanavyosababisha kero kwa wengine. Halafu eti hiyo ni Taasisi ya vyuo vikuu...Efficiency zero.
 
nikiview SELECTION STATUS nazikuta kozi nilizoomba lakini nikiview SELECTED PROGRAMS hakuna kitu! Wenzangu mambo yakoje? Tufahamishane mwenzenu presha imenipanda
 
nikiview SELECTION STATUS nazikuta kozi nilizoomba lakini nikiview SELECTED PROGRAMS hakuna kitu! Wenzangu mambo yakoje? Tufahamishane mwenzenu presha imenipanda

nahc utakuwa hauna tatizo ! Ila kwa uhakika zaid nenda kwenye orodha waliyoitoa tcu ujue kma haupoo kweli
 
Back
Top Bottom