Admission third around msaada

Admission third around msaada

Puremind

Member
Joined
Aug 4, 2021
Posts
44
Reaction score
11
Ndugu wanajamvi kwenye account yangu ya Udom admission nataka kuomba third around kwenye Apply online haifunguki,je tatizo hili nikwangu tu,msaada namna ya kusolve hili tatz
 
Hamna namba za simu kwenye website yao, kama ipo wapigie.
Halafu hiyo around upo serious kweli?.
 
Ndugu wanajamvi kwenye account yangu ya Udom admission nataka kuomba third around kwenye Apply online haifunguki,je tatizo hili nikwangu tu,msaada namna ya kusolve hili tatz
Kijana confirm chuo ulichopata second round lasivyo utakuja juta sana udom hutapata wenzio wa PCB wanawahi CBE asaiv ilimradi asome maisha yaende .
 
Ndugu wanajamvi kwenye account yangu ya Udom admission nataka kuomba third around kwenye Apply online haifunguki,je tatizo hili nikwangu tu,msaada namna ya kusolve hili tatz
Nadhani ushaanza kupanic Mkuu jaribu kulogin polepole
 
Nafasi zimejaa unataka uapply nini mzee. Nenda CBE huko na Teofilo UDOM pamejaa.
Nmemwambia apo juu
 
Msaada Wakuu. Kuna kijana alipata hivi matokeo ya Form 6 mwaka huu.

History - E

Kiswahili - D

English - E

Division - 3 points 14

Sasa nauliza huyu anaweza kwenda kusoma degree?
 
Hawezi sababu hana D mbili kwa serikal ila yet aapply private na serikal atapata chuo hongera kwa kufaulu
 
Atafute chuo cha private anapata ,ataendelea na degree usiwe na hofu
 
Back
Top Bottom