Admission fee Mwenge Catholic University

Admission fee Mwenge Catholic University

Tommy 911

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2019
Posts
644
Reaction score
582
Habarini wakuu ,,nimechaguliwa bsc in chemistry @mwecau kataika fee structure yao kuna admission fee amabayo ni 3k na inatakiwa kulipwa unapofika chuoni je sisi tunaotegemea mkopo itakuaje?

Mwenye uelewa kuhusu hili naomba anijuze.

Sent from my itel it1513 using JamiiForums mobile app
 
Habarini wakuu ,,nimechaguliwa bsc in chemistry @mwecau kataika fee structure yao kuna admission fee amabayo ni 3k na inatakiwa kulipwa unapofika chuoni je sisi tunaotegemea mkopo itakuaje?
Mwenye uelewa kuhusu hili naomba anijuze

Sent from my itel it1513 using JamiiForums mobile app
Admission fee ni 300k not 3k(typing error)

Sent from my itel it1513 using JamiiForums mobile app
 
Kwa uelewa wa kawaida itabid ukope,ukipata mkopo utamrejesheshea aliekukopa
 
Io ni 339600 kama sijakosea iyo inalipwaa cash wakat wa kuriport bila hiyo huwezi fua dafu kwenye registration
 
Io ni 339000 kama sijakosea iyo inalipwaa cash wakat wa kuriport bila hiyo huwezi fua dafu kwenye registration
Ya nin yote hiyo?
Sisi miaka ile udsm tulikua tunaiita direct cost, ilikuwa ni kama 79,000/=
 
Ya nin yote hiyo?
Sisi miaka ile udsm tulikua tunaiita direct cost, ilikuwa ni kama elfu 79,000/=
IMG_7457.jpg
 
Back
Top Bottom