Tabutupu JF-Expert Member Nov 26, 2010 13,185 18,513 Dec 28, 2015 #1 Umechanganya picha na maelezo (Front page) Maelezo yanasema Rais akiwa na balozi wa uswizi lakini picha R ais yupo na Mtu wa Saudia..
Umechanganya picha na maelezo (Front page) Maelezo yanasema Rais akiwa na balozi wa uswizi lakini picha R ais yupo na Mtu wa Saudia..
sifongo JF-Expert Member Jun 5, 2011 4,896 5,305 Dec 28, 2015 #2 Hakuna uhariri wa habari kabla ya kuiweka hewani, ngoja tusubiri labda ataitolea maelezo.
Tabutupu JF-Expert Member Nov 26, 2010 13,185 18,513 Dec 28, 2015 Thread starter #3 Aibu kwa website ya ikulu