ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,043
- 61,360
Hii kauli inauma sana mkuu. Sio vizuri kuitamka tamkaNi kama ukifa ukiwcha mke
Wewe naye, kitu gani sasa hapo kinakuuma? Kwamba hautakufa au...Hii kauli inauma sana mkuu. Sio vizuri kuitamka tamka
Kwani wewe umeacha mke mkuu?Hii kauli inauma sana mkuu. Sio vizuri kuitamka tamka
Mkuu tuheshimiane tafadhaliWewe naye, kitu gani sasa hapo kinakuuma? Kwamba hautakufa au...
Ukifa na ukaacha mke wenzio wanachukua, hata kama hujafa lazima mkeo anachukuliwa.
Kwani nimekufa tayari au?Kwani wewe umeacha mke mkuu?
Kama ume unda group la what's up uka add member halafu ghafla uka left group Nani anakuwa anakaimu nafasi yako au linabaki vipi je watakuwa wanatuma meseji Kama kawaida .nataka kujua linabakiaje
Usijali kijana ukitwaliwa na muumba waja wema tutamsitiri mkeo.....ni sunnah....mnyezi Mungu ametunasihi tuwafanyie wema wajane.....😁😁😁😁😁Mkuu tuheshimiane tafadhali
Whatsapp inampa mmojawapo kuwa group admin... Sina uhakika kama yule wa kwanza kuwa added kwenye group au nini kinaangaliwa... Imeshatutokea kwenye group letu.. ADMIN akaleft unexpectedily, mwingine akapewa uadmin..Kama ume unda group la what's up uka add member halafu ghafla uka left group Nani anakuwa anakaimu nafasi yako au linabaki vipi je watakuwa wanatuma meseji Kama kawaida .nataka kujua linabakiaje
CCM kumejaa wehuKama ume unda group la what's up uka add member halafu ghafla uka left group Nani anakuwa anakaimu nafasi yako au linabaki vipi je watakuwa wanatuma meseji Kama kawaida .nataka kujua linabakiaje
Yes, BUT vigezo gani hutumika?Anyone can be admin automatic, yaan admin ukileft uadmin anapew member yoyote
Anajulikana kabla ya admin kuleft? Na whatsapp wanamjuaje kwa huyu ndo makamu?Anapewa makamu admin
.... Mkuu, ukinirithi Mke, nakutokea live kijinamizi hadi unamwacha.....Ni kama ukifa ukiwcha mke
Hafi mtu hapa.Usijali kijana ukitwaliwa na muumba waja wema tutamsitiri mkeo.....ni sunnah....mnyezi Mungu ametunasihi tuwafanyie wema wajane.....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]