Adhabu za wanajeshi

Unasema tu
Watu kamaa nyie ndio popo kishenzi.
Utapigwa mpaka usemee mimi ni mwanamke natafuta mme
Mimi Nina msimamo sitishiwi nyau, ukishaanza kigugumizi ndo wanakuchukulia poa, mwanaume ongea straight Kwa kujiamini na kunguruma kama simba, ikiwezekana unawatandika na maswali mpaka waone hii kichwa sio nyenzetu hii Wala sio ya kuchezea. Kudadeki mbona na salute wangenipigia.
 
Hivmzi wanawafanya haoa Tanzania Kenya Wanajeshi wao hawana huu ujinga, Taifa limeje gwa jwa misingi ya uoga sana si bure eti jamaa hawalipo nauli,
 
Unachokifanya ni kushangilia ujinga wa kutokujua haki zako, Askari wa jeshi lolote haruhusiwi kukushambulia hata kama umevunja sheria ilimradi tu hujakataa kutii amri ikiwa amekuja kukukamata haruhusiwi kukupiga Wala kukudhalilisha kwa adhabu yoyote chombo kinachotoa adhabu ni mahakama anachotakiwa kukifanya ni kukufikisha mbele ya vyombo vya sheria ili ukahukumiwe kwa kosa ulilofanya kama kweli hilo kosa lipo

Akikwambia chuchumaa/kaa chini we kubali ila akikwambia ruka kichura mwambie siwezi kwasababu za kiafya hapo sasa chochote atakacho kufanya ikiwa ni kukushambulia unaruhusiwa kumshitaki utaratibu wa kushtaki ni uleule
Shambulizi lolote atakalo kufanyia ni kosa kama makosa mengine ya shambulio na unaruhusiwa kufungua kesi dhidi yake na akawajibishwa

Huyo dereva alitakiwa akatae kwanzia amri ya kuambiwa ashukie dirishani kwakua siyo amri halali na ni kinyume na utaratibu kwakua ilikua inahatarisha usalama wake
 
Mkuu nchi imejaaa waoga sana na hawa jamaa hutake advantage, Kenya huwezi sikia huu ujinga kwa kifupi haupo, uko kwa wajamaa huku
 
Hawa jamaa ni shida Kuna siku jamaa yangu alijichanganya huko kambini akapewa adhabu ya kuhamidha tofali 500 kuxitoa upande mmoja ma kuxipeleka upande mwingine akapambana na kuweza kuhamisha tofali 350 huku jasho likiwa limemtoka gafla akaonana na ndugu yake ambae ni mjeda na ana cheo kikubwa akamwelezea kosa na adhabu aliyopatiwa akawa anamuomba msaada huyo mjeda akasema nitakusaidia usijali hebu rudisha hizo tofali ilipozitoa nafikiri tatizo litakuwa limeisha! Da jamaa aliishiwa pozi
 
Ukiwa kwenye key board unatype unajikuta komando kipensi 😀
 
Tena wewe ndiyo utakuja kuumizwa kabisa ukileta ujinga huo. Kule kuna watu wameshindikana na zaidibya wahuni, ukitaka ukae nao wale kwa amani punguza ujuaji
 
Nyumbu na Msangani malori ya mchanga yalimamishwa na mp halafu dereva akaambiwa amwage mchanga 2ote halafu aujaze kwenye gari kwa viganja vya ✋ na mwingine akaambiwa amwage halafu aendeshe gari mita 50 halafu arudi kuchota mchanga koleo 1 akamwage mita 50 mpaka uishe....aliishiwa mafuta ndo akaruhusiwa kuondoka🤭🤣
 
Huu ni uongo!
Hii story sio yako.
Umetulia mwenyewe kuandika pumba
 
Mafuta yakaisha akaondokaje sasa??
Chai
 
Sahihi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…