Adhabu ya wajerumani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adhabu ya wajerumani

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mwl, Jun 1, 2011.

 1. m

  mwl JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 863
  Likes Received: 594
  Trophy Points: 180
  Wakati wa ukoloni wa Mjerumani raia 3 walifanya makosa mwarabu, mhindi na mwafrika, wakatakiwa kila mmoja akatafute tunda kisha waadhibiwe. Mwarabu alikuwa wa kwanza kurudi ameleta ndimu, palepale akahukumiwa ile ndimu itiwe mku*duni mwake, mwarabu alicheka sana. Alipoulizwa kipi kinamchekesha na amepewa adhabu kali, alisema anamuonea huruma mhindi kwa kupenda sifa amemkuta amebeba tikiti maji.
   
 2. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa mbona hujatueleza kuhusu yule mwafrika, au alipeleka nanasi?
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  alimcheka mwafrika bwana aliemkuta na Fenesi.....
   
 4. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  leo umejitahidi kutuchangamsha sio thread zako za jana. bora uwe comedian tu,usilete tana mambo yako kama ya jana...........
   
 5. M

  Morris Member

  #5
  Jun 2, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nahisi huyo mwafrika alipeleka ndizi..
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145

  jamaa alikuwa na Bonge la Fenesi....
   
 7. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Jamani inawezekana mwafrika alikwenda na nazi
   
 8. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hii mbona imo humu. Copy and paste.
   
Loading...