Adhabu ya wajerumani

Adhabu ya wajerumani

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
913
Wakati wa ukoloni wa Mjerumani raia 3 walifanya makosa mwarabu, mhindi na mwafrika, wakatakiwa kila mmoja akatafute tunda kisha waadhibiwe. Mwarabu alikuwa wa kwanza kurudi ameleta ndimu, palepale akahukumiwa ile ndimu itiwe mku*duni mwake, mwarabu alicheka sana. Alipoulizwa kipi kinamchekesha na amepewa adhabu kali, alisema anamuonea huruma mhindi kwa kupenda sifa amemkuta amebeba tikiti maji.
 
Sasa mbona hujatueleza kuhusu yule mwafrika, au alipeleka nanasi?
 
leo umejitahidi kutuchangamsha sio thread zako za jana. bora uwe comedian tu,usilete tana mambo yako kama ya jana...........
 
Hii mbona imo humu. Copy and paste.
 
Back
Top Bottom