Regnatus Cletus
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,114
- 958
NONSENSE.Mtoto wako akikutukana unamchapa viboko vinne tu! Je Biblia inasemaje juu ya mtoto anapokosea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyovyote viwavyo!!!Unataka kulaumu walimu bila kujua kuwa system nzima imesha Corrupt. SERIKALI IMESHINDWA KU DERIVE MAHITAJI YA WALIMU HAPO UNASEMAJE?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauwezi kuhalalika labda kama na ukatiri usiovumilika lakini tunapaswa kuangalia vyanzo vya matukio kuanzia. PANAPOFUKA MOSHI.....Vyovyote viwavyo!!!
Ukatili dhidi ya wanafunzi hauwezi kuhalalika kwa namna yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo, mauaji ya Sperius Eradius ni jambo la kawaida tu kwako?Hauwezi kuhalalika labda kama na ukatiri usiovumilika lakini tunapaswa kuangalia vyanzo vya matukio kuanzia. PANAPOFUKA MOSHI.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia huwezi halalisha ukatiri wa aina yoyote ile SWALI LANGU KWA SASA KWANINI HAYA MATUKIO YAMEKUWA MENGI? (USIJIBU KISIASA)
Nisijibu kisiasa maana yake nini wewe???Nimekwambia huwezi halalisha ukatiri wa aina yoyote ile SWALI LANGU KWA SASA KWANINI HAYA MATUKIO YAMEKUWA MENGI? (USIJIBU KISIASA)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokujibu kisiasa maana yake unatakiwa kunzia tangu sehemu walimu wanapoandaliwa mpaka tukio kutokea, huwezi kutatua tatizo bila kujua chanzo cha tatizoNisijibu kisiasa maana yake nini wewe???
Waalimu ni WATOVU WA NIDHAMU wanapaswa kunyang'anywa mamlaka ya uchapaji wa viboko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uelewa wako katika hili ni mdogo sana usiendelee kutetea hoja yako. Naona umeongozwa na hisia na kuamua kutuhumu walimu wote.Nisijibu kisiasa maana yake nini wewe???
Waalimu ni WATOVU WA NIDHAMU wanapaswa kunyang'anywa mamlaka ya uchapaji wa viboko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niki expand ubongo wako ni kama unasema "Ndoa zifutwe" kwa kuwa wanandoa wnasalitiana na zaidi sana wanauana kwa wivu wa kimapenzi!!Pameshuhudiwa matumizi ya nguvu iliyozidi, adhabu za kutweza, na uchapaji wa viboko dhidi ya wanafunzi kwa namna ya kikatili, ya kuogofya, na isiyozingatia sheria.
Jana, tarehe 28/8/2018 Paliripotiwa mauaji ya Sperius Eradius yaliyofanywa na mwalimu kwa tuhuma batili za wizi wa mkoba.
Utoaji wa adhabu mashuleni unasimamiwa na SHERIA YA ELIMU, SURA YA 353, MAREJEO YA 2002, KIFUNGU NAMBARI 61 (1) (V) ; PAMOJA NA EDUCATION (CORPORAL PUNISHMENT) REGULATIONS G. N. 294 , 2002. (1) (2) (5).
MWANAFUNZI ATACHAPWA VIBOKO VISIVYOZIDI VINNE, NA MWENYE MAMLAKA YA KUCHAPA MWANAFUNZI NI MWALIMU MKUU TU, AU MWALIMU ATAKAYEPEWA MAMLAKA NA MWALIMU MKUU KUTOA ADHABU YA VIBOKO NA SI VINGINEVYO.
ADHABU ITATOLEWA ENDAPO TU PANA UTOVU MKUBWA SANA WA NIDHAMU, NA ADHABU HIYO ITAZINGATIA UMRI, JINSIA, NA HALI YA KIAFYA YA WANAFUNZI KISHA KUREKODI KATIKA KITABU IDADI YA VIBOKO, PAMOJA NA JINA LA MWANAFUNZI HUSIKA.
Kwasababu, inaonekana walimu wengi ni watu wasiojitambua, mamlaka yao ya kuchapa wanafunzi yafutwe kabisa.
Na kwasababu waalimu wakuu wamekuwa wazembe katika kusimamia utaratibu huu, nao wafutiwe mamlaka hayo.
Mwalimu mkuu asiwe na mamlaka ya kuchapa wala kukaimisha mamlaka ya kuchapa kwa mwalimu chini yake.
Mwalimu anaporarua wanafunzi kwa viboko awajibishwe kama muhalifu yoyote anayefanya SHAMBULIO LA MWILI DHIDI YA MWANAFUNZI (BATTERY).
WAALIMU WAMESHINDWA KUJIONGOZA NA KUGEUKA GENGE LA MIGAMBO WANAOTOA VIPIGO VYA KINYAMA PINDI WANAPOTAKA TU.
Ni walimu wachache sana waadilifu wanaozingatia uchapaji wa idadi ya viboko, na wengi wao wanatoa adhabu pasipo ruhusa ya waalimu wakuu.
Matokeo yake ni uchapaji wa kinyama, kutoa vilema, na kupoteza uhai wa wanafunzi wadogo ambao kimsingi wangepaswa kuelekezwa kwa upendo badala ya kushushiwa marungu.
Wanafunzi watovu wa nidhamu wapewe adhabu za mikono. VIBOKO VIFUTWE.
Waalimu wameshindwa kutengeneza taifa la wasomi imara, badala yake wamegeuka kuwa genge la wachapaji na wauaji.
JUSTICE FOR SPERIUS ERADIUS.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pigeni tu ila mtakwenda jela tuKama hutaki mwanao apewe adhabu anapokosea mfundishe mwnywe.....hyo ya kijana kwa kweli nimepondeka sana moyo....ila siungi mkono viboko kutolewa mashuleni unadhani bila ya viboko ungekuja kutusumbua na mada yako hii...........ulikuwa zwazwa sema viboko vimekutoa uzwazwa
Sent using Jamii Forums mobile app