Adhabu ya uzinzi

mhhh wewe hapo unatafuta balaa
yaani uiue baiolojia yangu hivi hivi najiona
patachimbika
 
sijaelewa kule zilikoenda kuingia zile nyaya ameziunganisha vipi !?
 
Hii sio adhabu mkuu....inaonesha machine battery low ndio wanajaribu kuichaji.....

Duh mkuu umewaza mbali sana aise
Duh sikuwaza huko kabisa
Sasa kwa namna hiyo kweli mashine itashtuka au hapo jamaa ashakuwa tena battery low
 
Duh mkuu umewaza mbali sana aise
Duh sikuwaza huko kabisa
Sasa kwa namna hiyo kweli mashine itashtuka au hapo jamaa ashakuwa tena battery low

Hapo lazima jamaa ainuke apende asipende....shoti sio mchezo kaka
 
Hiyombona poa tu, baada ya maumivu kuisha inakuwa imeshajichaji. Unakuwa ngangari ile mbaya!
 
Hapo lazima jamaa ainuke apende asipende....shoti sio mchezo kaka

Ila ni kwa kipindi kifupi maana hiyo ya kushtuliwa hiyo haidumu bana
kitu iwe inafanya kazi yenyewe bila kulazimishwa sasa haya mambo ya kushtuliwa na short ni balaa
 
Huyu mtoa adhabu itamkosti kwa sababu atahitaji kifaa badae hafu ndo asha kipiga short, nae atatoka nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…